Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mfanya biashara, afafutae lulu nzuri:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 “Tena, Ufalme wa Mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:45
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akawatolea mfano mwingine, akinena, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake:


nae alipoona lulu moja ya thamani kubwa, akaenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.


Kwa maana atafaidiwa mtu nini akiupata ulimwengu wote, na kupata khasara ya roho yake? au mtu atatoa nini badala ya roho yake?


Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake:


Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararueni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo