Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 13:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Hatta alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka njiani, ndege wakaja wakazila:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila.

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema nao mengi kwa mifano, akinena, Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu.

nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa udongo mwingi: marra zikaota, kwa kuwa na udongo haba;

ikawa alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zikaangukia njiani, wakaja ndege wakazila.

Ikawa alipokaribia Yeriko, pafikuwa na kipofu, amekaa kando ya njia akiomba.

Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka karibu na njia, zikakanyagwa, ndege za anga wakazila.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo