Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Kisha Yesu aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, “Tufafanulie ule mfano wa magugu shambani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Kisha Yesu aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, “Tufafanulie ule mfano wa magugu shambani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Kisha Yesu aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, “Tufafanulie ule mfano wa magugu shambani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kisha Isa akaagana na ule umati, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kisha Isa akaagana na makutano, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:36
13 Marejeleo ya Msalaba  

SIKU ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.


Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wale hawakujaliwa.


Bassi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi.


lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya nganu, akaenda zake.


Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magdala.


Alipolika nyumbani, wale vipofu wakamwendea: Yesu akawaambia. Mnaamini kwamba naweza kufanya haya? Wakamwambia, Naam, Bwana.


wala pasipo mfano hakusema nao: akawaeleza wanafunzi wake mambo yote kwa faragha.


Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


Hatta alipoingia nyumbani, amewaacha makutano, wanafunzi wake wakamwuliza khabari za ule mfano.


Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo