Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Haya yote Yesu aliwaambia makutano kwa mifano; na pasipo mfano hakuwaambia neno:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa alinena mambo haya yote kwa umati wa watu kwa mifano, wala hakuwaambia lolote pasipo mfano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:34
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawatazami na wakisikia hawasikii, wala hawafahamu.


Akasema nao mengi kwa mifano, akinena, Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu.


Methali hii Yesu aliwaambia; lakini wao hawakuelewa na mambo hayo aliyowaambia.


Haya nimesema nanyi kwa methali: saa inakuja, sitasema nanyi tena kwa methali, lakini nitawapa kwa wazi khabari ya Baba.


Wanafunzi wake wakasema, Tazama, sasa wasema waziwazi, wala huneni methali yo yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo