Mathayo 13:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Akasema, La; labuda wakati wa kukusanya magugu, mtangʼoa na nganu pamoja nayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkang'oa na ngano pia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 “Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 “Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo. Tazama sura |