Mathayo 13:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Baadae majani ya nganu yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. Tazama sura |