Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Wakamkusanyikia watu wengi, hatta akapanda chomboni, akaketi; na mkutano wote wakasimama pwani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata Yesu akapanda mashuani, akaketi. Watu wote walisimama kwenye ukingo wa ziwa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata Yesu akapanda mashuani, akaketi. Watu wote walisimama kwenye ukingo wa ziwa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata Yesu akapanda mashuani, akaketi. Watu wote walisimama kwenye ukingo wa ziwa,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Umati mkubwa mno wa watu wakakusanyika kumzunguka, hata ikabidi aingie katika chombo na kuketi humo, nao watu wote wakawa wamesimama ukingoni mwa bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Umati mkubwa mno wa watu ukakusanyika kumzunguka, hata ikabidi aingie katika chombo na kuketi humo, nao watu wote wakawa wamesimama ukingoni mwa bahari.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwendea makutano mengi walio na viwete, vipofu, bubu, vilema, na wengine wengi pamoja nao, wakawaweka miguuni pa Yesu; akawaponya;


Makutano mengi wakamfuata, wakitoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemi, na Yahudi, na ngʼambu ya Yordani.


AKAANZA kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkuliwa, hatta yeye akapanda chomboni, akakaa baharini; mkutano wote ulikuwako katika inchi kavu kando ya bahari.


Akaingia chombo kimoja, kilichokuwa cha Simon, akamtaka asogeze kidogo kutoka pwani. Akakaa, akawafundisha makutano katika chombo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo