Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 13:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Kwa maana amin, nawaambieni, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasivaone; na kuyasikia mnayoyasikia, wasiyasikie.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Amin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Amin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akawageukia wanafunzi wake kwa faragha, akawaambia, Ya kheri macho yatazamayo mnayoyatazama ninyi.

Maana nawaambia; Manabii wengi na wafalme walitaka kuyaona mnayoyatazama ninyi wasiyaone, na kuyasikia mnayoyasikia wasiyasikie.

Ibrahimu baba yemi alishangilia apate kuiona siku yangu; akaona, akafurahi.

Hawa wote wakafa katika imani, wasizipokee zile ahadi, bali wakiziona tokea mbali na kuzisalimu, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya inchi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo