Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 13:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Lakini ya kheri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, U kheri Simon bar Yunus; kwa kuwa nyama na damu hazikukufunulia haya, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yesu amwambia, Kwa kuwa umeniona, umeamini; wa kheri wasioona wakaamini.

uwafumhue macho yao, waiache giza na kuielekea nuru, na waziache nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu, na wapate masamaha ya dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu.

Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itangʼaa toka gizani, ndive aliyengʼaa mioyoni mwetu, atupe nuru va elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo