Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 13:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawatazami na wakisikia hawasikii, wala hawafahamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Hii ndiyo sababu nasema nao kwa mifano: “Ingawa wanatazama, hawaoni; wanasikiliza, lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Hii ndiyo sababu nasema nao kwa mifano: “Ingawa wanatazama, hawaoni; wanasikiliza, lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:13
12 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini ya kheri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.

Kama ilivyoandikwa, Mungu aliwapa roho ya usingizi, macho hatta wasione, na masikio hatta wasisikie mpalla leo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo