Mathayo 13:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama sura |