Mathayo 12:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo aliye mkuu kuliko hekalu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, nawaambieni kwamba hapa pana kikuu kuliko hekalu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, nawaambieni kwamba hapa pana kikuu kuliko hekalu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, nawaambieni kwamba hapa pana kikuu kuliko hekalu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. Tazama sura |