Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 12:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa nae wala na wenzi wake, illa na makuhani peke yao?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani tu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani peke yao.

Tazama sura Nakili

Mathayo 12:4
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daud, alipokuwa na njaa, yeye na wenzi wake;

Wala hamkusoma katika torati, kwamba siku ya sabato makuhani hekaluni huinajisi sabato wasipate khatiya?

Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, zamani za kuhani mkuu Abiatbar, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa illa na makuhani, akawapa na wenziwe?

jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate iliyotolewa kwa Mungu, akaila, akawapa na hawo waliokuwa pamoja nae, isiyo halali kuliwa illa na makuhani peke yao?

Maana khema ilitengenezwa, ile ya kwanza, mlimokuwa na taa, na meza, na mikate iliyotolewa kwa Mungu; palipoitwa, Patakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo