Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 12:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakinena, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Torati wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Torati wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 12:38
9 Marejeleo ya Msalaba  

Maana kwa maneno yako utapewa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

Wengine kwa kumjaribu wakataka ishara ya mbinguni.

Makutano walipokuwa wakimkusanyikia akaanza kunena, Kizazi hiki ni kizazi kibaya: chatafuta ishara: wala hakitapewa ishara illa ishara ya nabii Yunus.

Bassi Wayahudi wakajibu wakamwambia, Ishara gani utuonyeshayo, iwapo unafanya haya?

Bassi Yesu akamwambia, Msipoona ishara na maajabu hamtaamini kabisa.

Wakamwambia, Unafanya ishara gani bassi illi tuone tukaamini? Unatenda kazi gani?

Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo