Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 12:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Mtu asiye upande wangu yu kinyume changu; na mtu asivekusanya pamoja nami hutapanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.

Tazama sura Nakili




Mathayo 12:30
16 Marejeleo ya Msalaba  

Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? ndipo atakapoiteka nyumba yake.


Hakuna mtu awezae kuwatumikia bwana wawili; kwa maana atamchukia mmoja, na kumpenda wa pili; au atamshika mmoja, na kumtweza wa pili. Hamwezi kumtumikia Mungu na mamona.


kwa sababu asiye kiuyume chetu, ni upande wetu.


Mtu asiye pamoja nami ni adui yangu: nae asiyekusanya pamoja nami hutapanya.


Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa maana yeye asiye kinyume chetu ni upande wetu.


wala si kwa ajili ya taifa lile tu, lakini pamoja na haya awakusanye watoto wa Mungu waliotawanyika wawe wamoja.


Walitoka kwetu, bali hawukuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka illi wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo