Mathayo 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Je! mtu si hora sana kuliko kondoo? Bassi ni halali kutenda mema siku ya sabato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mtu ana thamani kubwa kuliko kondoo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mtu ana thamani kubwa kuliko kondoo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama sura |