Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 12:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 WAKATI ule Yesu alipita katika makonde siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Wakati huo, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano siku ya Sabato. Basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakala punje zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Wakati huo, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano siku ya Sabato. Basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakala punje zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Wakati huo, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano siku ya Sabato. Basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakala punje zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Wakati huo Isa alipitia kwenye mashamba ya nafaka siku ya Sabato. Wanafunzi wake walikuwa na njaa, nao wakaanza kuvunja masuke ya nafaka na kuyala.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati huo Isa alipitia kwenye mashamba ya nafaka siku ya Sabato. Wanafunzi wake walikuwa na njaa, nao wakaanza kuvunja masuke ya nafaka na kuyala.

Tazama sura Nakili

Mathayo 12:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo