Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Lakini mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Basi mlienda kuona nini? Mlienda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi meroro? Watu wavaao mavazi meroro, wamo katika nyumba za wafalme.


Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.


Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;


Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo