Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Yesu akajibu akawaambia, Enendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Isa akajibu, “Rudini mkamwambie Yahya yale mnayosikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Isa akajibu, “Rudini mkamwambie Yahya yale mnayosikia na kuyaona:

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe ndiye ajae, au tumtazamie mwingine?


vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanakhubiriwa khabari njema.


Wakamwendea makutano mengi walio na viwete, vipofu, bubu, vilema, na wengine wengi pamoja nao, wakawaweka miguuni pa Yesu; akawaponya;


Vipofu na viwete wakamwendea hekaluni, akawaponya.


Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka: takasika. Marra ukoma wake ukatakasika.


Niaminini ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba ndani yangu; la! hamwamini hivyo, niaminini kwa sababu ya kazi zenyewe.


Lakini ushuhuda nilio nao ni mkubwa kuliko ule wa Yohana: kwa kuwa zile kazi nilizopewa na Baba nizimalize, kazi hizo zenyeye ninazozitenda zinanishuhudia kwamba Baba amenituma.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo