Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 kwa maana nira yangu laini, na mzigo wangu mwepesi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:30
13 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Yesu alipita katika makonde siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.


Haya nimewaambieni, mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mtapata shidda: lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.


Bassi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka nira juu ya shingo za wanafunzi, ambayo baba zetu na sisi hatukuweza kuichukua.


Kwa maana ilimpendeza Roho Mtakatifu na sisi, tusiwatwike mzigo illa hayo yaliyo faradhi,


Maana mateso mepesi yetu, yaliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele ulio mwingi sana zaidi;


KRISTO alitufanya huru kwa uhuru; bassi, simameni, msinaswe tena kwa kifungo cha utumwa.


Lakini nikiongozwa na Roho, hunpo chini ya sharia.


Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu.


Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kuzisinka amri zake: na amri zake si nzito.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo