Mathayo 11:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Lakini nawaambieni, itakuwa rakhisi inchi ya Sodom istahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.” Tazama sura |