Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Ndipo akaanza kuikemea miji ile ambamo ilifanyika miujiza yake iliyo mingi, kwa sababu haikutubu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kisha Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kutubu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kisha Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kutubu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kisha Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kutubu:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Ndipo Isa akaanza kuishutumu miji ambayo alifanya miujiza yake mingi, kwa maana watu wake hawakutubu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Ndipo Isa akaanza kushutumu miji ambamo alifanya miujiza yake mingi kuliko kwingine, kwa maana watu wake hawakutubu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:20
17 Marejeleo ya Msalaba  

Watu wa Ninawi watasimama siku ile ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao watakihukumu: maana wao walitubu kwa makhubiri ya Yunus; na hapa yupo aliye mkuu kuliko Yunus.


Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.


Akamjibu, akanena, Ee kizazi kisichoamini, niwe kwenu hatta lini? nichukuliane nanyi hatta lini? Mleteni kwangu.


Kwa maana unaleta mambo mageni masikioni mwetu, tutapenda kujua, bassi, maana ya mambo haya.


nami nitakapokuja tena, Mungu wangu akanidhili kwenu, nikawasikitikia wengi waliokosa zamani, wala hawakutubia nchafu, na uzinzi, na uasharati walioufanya.


Lakini mtu wa kwemi akipungukiwa hekima, aombe dua kwa Mungu, awapae wote kwa ukarimu, wala hakemei; nae atapewa.


wakamtukana Mungu wa mbingu kwa sababu ya maumivu yao, na kwa sababu ya majipu yao, wala hawakuyatubia matendo yao.


Wana Adamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo yote, wala hawtikutubu na kumpa utukufu.


Nami nimempa muda illi atubu uzinzi wake, nae bataki kutubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo