Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Nae Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wawili katika wanafunzi wake, kumwambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Yohane Mbatizaji akiwa gerezani alipata habari juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Yohane Mbatizaji akiwa gerezani alipata habari juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Yohane Mbatizaji akiwa gerezani alipata habari juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Yahya aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Al-Masihi alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Yahya aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Al-Masihi alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi vizazi vyote tangu Ibrahimu hatta Daud vizazi kumi na vine; na tangu Daud hatta uhamisho ule wa Babel vizazi kumi na vine; na tangu uhamisho ule wa Babel hatta Kristo vizazi kumi na vine.


Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo ndugu yake.


Yesu aliposikia ya kwamba Yohana amefungwa, akaenda zake hatta Galilaya;


Wakati ule wanafunzi wa Yohana wakamwendea, wakinena, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga marra nyingi, bali wanafunzi wako hawafungi?


Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma wata, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili va Herodias, nikewe Filipo ndugu yake: kwa kuwa amemwoa; bassi Yohana alimwambia Herode,


Lakini Herode tetrarka, akikaripiwa nae kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo, ndugu yake, na kwa ajili ya maovu yote aliyoyafanya Herode,


Hatta Herode tetrarka akasikia yote yaliyotendwa nae, akaona mashaka, kwa kuwa wengine walisema kwamba Yohana amefufuka katika wafu:


BASSI Bwana alipojua ya kuwa Mafarisayo wamesikia kwamba Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kubatiza,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo