Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakanena. Yuna pepo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa maana Yahya alikuja, alikuwa hali wala hanywi, nao wanasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa maana Yahya alikuja, alikuwa hali wala hanywi, nao wanasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:18
17 Marejeleo ya Msalaba  

Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?


wakinena, Twaliwapigia filimbi, wala hamkucheza; twaliomboleza, wala hamkulia.


Yohana mwenyewe alikuwa na mavazi yake ya singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.


Lakini Mafarisayo wakanena, Kwa mkuu wa pepo afukuza pepo.


Waandishi walioshuka kutoka Yahudi wakanena, Ana Beelzebul, na kwa uwezo wa mkuu wa pepo awafukuza pepo.


Kwa maani atakuwa mkuu mbele ya Mungu, hatakunywa divai wala kileo: nae atajazwa Roho Mtakatifu hatta tangu tumbo la mama yake.


Wengi wao wakasema, Ana pepo, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza?


Makutano wakajibu, wakasema, Una pepo; ni nani anaetafuta kukuua?


Wayahudi wakajibu wakamwambia, Hatuneni vema sisi kwamba wewe u Msamaria, na una pepo?


Bassi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumefahamu ya kuwa una pepo; Ibrahimu amekufa na manabii, na wewe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti kabisa hatta milele.


Alipokuwa akijitetea hivi, Festo akasema kwa sauti kuu, Paolo, una wazimu, kusoma kwako kwingi kumekugenza akili zako.


bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwakhubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo