Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 11:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 wakinena, Twaliwapigia filimbi, wala hamkucheza; twaliomboleza, wala hamkulia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkuomboleza.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkuomboleza.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 11:17
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nitafananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wakikaa sokoni, wanaowaita wenzao,

Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakanena. Yuna pepo.

Yesu akawaambia, Wana wa arusi wawezaje kuomboleza, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao? Lakini siku zitakuja atakapoondolewa bwana arusi; udipo watakapofunga.

Yesu alipofika nyumbani kwa yule jumbe, akaona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo,

Bassi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shamba, na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, akasikia sauti ya kuimba na kucheza.

Wakamfuata makutano mengi ya watu, na ya wanawake, waliojipigapiga, wakaomboleza.

Wamefanana na watoto, waketio sokoni, wakiitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi nanyi hamkucheza, tuliomboleza, nanyi hamkulia.

Akasema, Msilie; kwa maana hakufa, bali amelala usingizi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo