Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 11:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Na ikiwa mantaka kukubali, yeye ndiye Elia atakaekuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Ilya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Ilya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:14
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.


Nae atatangulia mbele ya uso wake, mwenye roho ya Eliya, na nguvu zake, kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na kuwageuza maasi waelekee akili zao wenye haki; illi kumfanyia tayari Bwana watu waliotengenezwa.


Hatta ninayo mengi bado ya kuwaambieni, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.


Nimewanywesha maziwa, sikuwalisha chakula; kwa maana mlikuwa hamjakiweza; naam, hatta sasa hamkiwezi, kwa maana hatta sasa m watu wa tabia za mwilini.


Nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, wakapewa hukumu: nikaona roho zao waliokatwa kichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia nyama, wala sanamu yake, wala hawakuipokea alama yake katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; wakawa hayi, wakamiliki pamoja na Kristo miaka elfu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo