Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba mishipini mwenu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ponyeni wagonjwa, takaseni wenye ukoma, fufueni wafu, fukuzeni pepo; mmepata burre, toeni burre.

Akawaita wale thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili; akawapa mamlaka juu ya pepo wachafu:

Akawaambia, Nilipowatuma bila mifuko na mkoba na viatu, mlipunguka kitu? Wakasema, Hapana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo