Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 na adui wa mtu ndio wale wa nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani mwake.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani kwake.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:36
14 Marejeleo ya Msalaba  

Na ndugu atamsaliti ndugu apate kufa, na baba atamsaliti mtolo; na watoto wataondoka kuwashitaki wazee wao, wawafishe.


Petro akamwambia. Hutanitawadha miguu milele. Yesu akamwambia, Nisipokutawadha, huna fungu pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo