Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mama yake, na mkwe na mkwe mtu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kwa maana nimekuja kuleta uadui kati ya “ ‘mtu na baba yake, binti na mama yake, mkwe na mama mkwe wake;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye, binti na mamaye, mkwe na mama mkwe wake;

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na ndugu atamsaliti ndugu apate kufa, na baba atamsaliti mtolo; na watoto wataondoka kuwashitaki wazee wao, wawafishe.


Ndipo wengi watajikwaa, na watasalitiana, na kuchukiana.


Na ndugu atamsaliti ndugu yake illi anawe, na baba mtoto wake, na watoto wataondoka jun ya wazazi wao, na kuwafisha.


Baba wa mtu atafarakana na mwanawe, na mwana na baba yake, mama ya mtu na binti yake, na binti na mama yake, mkwe mtu na mkwewe, mkwe na mkwe mtu.


Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawafisha wengine wenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo