Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Msidhani ya kuwa nalikuja kueneza amani duniani; la! sikuja kueneza amani, bali upanga.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:34
9 Marejeleo ya Msalaba  

Walakini Wayahudi wasioamini wakawataharakisha watu wa mataifa na kuwatia nia mbaya juu ya ndugu.

Lakini jamii ya watu wa mjini wakagawanyikana: bawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa Mitume.

Alipokwisha kusema haya, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.

Akatoka farasi mwingine mwekundu sana, na yeye aliyempanda alipewa kuiondoa amani katikii inchi, watu wauawe, akapewa upanga mkubwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo