Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Bali mtu ye yote atakaenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Lakini yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Lakini yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Lakini yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:33
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, Wewe leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu.


Jogoo akawika marra ya pili. Petro akalikumbuka neno lile aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu. Na alipolifikiri, akalia.


Maana killa mtu atakaenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha zina na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya yeye atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.


Nae aliyenikana mbele ya watu, atakanwa mbele za malaika wa Mungu.


Akakana, akisema, Mwanamke, simjui.


Kwa sababu killa mtu atakaenionea haya mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu atamwonea haya huyo atakapokuja katika utukufu wake, na wa Baba yake, na wa malaika watakatifu.


kama tukistahimili, tutamiliki pamoja nae pia; kama tukimkana yeye, yeye nae atatukana sisi:


LAKINI kuliondoka manabii wa uwongo katika watu, kama vile kwenu kutakavyokuwa waalimu wa uwongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hatta Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu nsiokawia.


Killa anikanae Mwana, amkana Baba pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo