Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Msiogope bassi; hora ninyi kuliko videge vingi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Waangalieni ndege wa anga, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni awalisha hawo. Ninyi je! si bora kupita hawo?

Watafakarini kunguru, hawapandi wala hawavuni: hawana pa kuweka akiba wala ghala, na Mungu huwalisha. Ninyi si hora sana kuliko ndege?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo