Mathayo 10:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 hatta na nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Tazama sura |