Mathayo 10:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Videge viwili haviuzwi kwa pesa moja? Na hatta mmoja haanguki chini asijiojua Baba yemi: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Shomoro wawili huuzwa kwa sarafu moja ndogo. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Shomoro wawili huuzwa kwa sarafu moja ndogo. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Shomoro wawili huuzwa kwa sarafu moja ndogo. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. Tazama sura |