Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bassi, msiwaogope, kwa maana hakuna jambo lililostirika, ambalo halitafunuliwa baadae; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana baadae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Basi msiwaogope, kwa maana hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna siri ambayo haitajulikana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Kwa hiyo msiwaogope hao, kwa maana hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna siri ambayo haitajulikana.

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:26
22 Marejeleo ya Msalaba  

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho: afadhali mmwogopeni yule awezae kuangamiza mwili na roho pia katika jehannum.


Kwa maana hakuna neno lililostirika, illa kusudi lije likadhihirika; wala halikuwa siri, illa kusudi lije likatokea dhahiri.


na mataifa yote wakhubiriwe kwa jina lake toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemi.


Kwa maana hakuna neno lililostirika ambalo halitakuwa dhabiri, wala neno lililofichwa ambalo halitajulikana, na kutokea wazi.


Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemi, na katika Yahudi yote, na Samaria, na hatta mwisho wa inchi.


Bassi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kujua ya kuwa ni watu wasio elimu, wasio maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.


Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia,


Bassi msihukumu neno kabla ya wakati wake, mpaka ajapo Bwana; nae atayamulika yaliyosetirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo killa mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.


Lakini mjapoteswa kwa sababu ya haki, in kheri; msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo