Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je, hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je, hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je, hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa mkuu wa nyumba ameitwa Beelzebuli, je, si watawaita zaidi wale wa nyumbani mwake!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa mkuu wa nyumba ameitwa Beelzebuli, je, si watawaita zaidi wale wa nyumbani mwake!

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:25
13 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo waliposikia, wakasema, Huyu hafukuzi pepo, illa kwa uweza wa Beelzebul mkuu wa pepo.

Na mimi nikifukuza pepo kwa uweza wa Beelzebul, je! wana wenu wawafukuza kwa uweza wa nani? Kwa sababu hii hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu.

Lakini Mafarisayo wakanena, Kwa mkuu wa pepo afukuza pepo.

Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa:

Waandishi walioshuka kutoka Yahudi wakanena, Ana Beelzebul, na kwa uwezo wa mkuu wa pepo awafukuza pepo.

Wengine wao wakasema, Kwa Beelzebul, mkubwa wa pepo atoa pepo.

Nae Shetani vivyo hivyo akigawanyika katika nafsi yake, ufalme wake utasimamaje? kwa maana ninyi mnasema ninafukukuza pepo kwa Beelzebul.

Lakini mimi nikifukuza pepo kwa Beelzebul, wana wenu huwafukuza kwa nani? bassi kwa hiyo hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu.

Wengi wao wakasema, Ana pepo, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza?

Makutano wakajibu, wakasema, Una pepo; ni nani anaetafuta kukuua?

Wayahudi wakajibu wakamwambia, Hatuneni vema sisi kwamba wewe u Msamaria, na una pepo?

Bassi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumefahamu ya kuwa una pepo; Ibrahimu amekufa na manabii, na wewe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti kabisa hatta milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo