Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?


Mwanafunzi hampiti mwalimu wake; illa killa aliyekhitimu atakuwa sawa na mwalimu wake.


Amin, amin, nawaambieni, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake: wala mtume si mkuu kuliko yeye aiiyempeleka.


Likumbukeni lile neno nililowaambieni, Mtumwa si mkubwa kuliko Bwana wake. Ikiwa waliniudhi mimi, watawaudhi ninyi nanyi: ikiwa walilishika neno langu, watalishika na lenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo