Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Kwa kuwa si ninyi msemao, bali Roho ya Baba yenu asemae ndani yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Baba yenu atakayekuwa akinena kupitia kwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Mwenyezi Mungu, Baba yenu, atakayekuwa akinena kupitia kwenu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:20
18 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana haya yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji haya yote.


Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Bassi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, Baba aliye mbinguni, je! hatazidi na kuwapa wote wamwombao Roho Mtakatifu?


kwa kuwa Roho Mtakatifu atawafundisha saa hiyo hiyo yawapasavyo kuyanena.


Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.


Lakini Saul ambae ndiye Paolo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho, akanena,


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,


Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia,


lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala na Roho aliyosema nayo.


kwa kuwa mnatafuta dalili ya Kristo, asemae ndani yangu, ambae si dhaifu kwenu, bali ana uweza ndani yenu.


Kwa sababu hiyo sisi nasi twamshukuru Mungu bila kukoma, kwa kuwa mlipopokea lile neno la ujumbe la Mungu mlilolisikia kwetu, mlilipokea si kama neno la kibinadamu; bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli, litendalo kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.


Waliofunuliwa ya kuwa si kwa ajili yao wenyewe, bali kwa ajili yetu walitumika katika mambo hayo, ambayo sasa yamekhubiriwa kwenu na wale waliowakhubiri ninyi Injili kwa Roho Mtakatifu aliyetumwa kutoka mbinguni. Mambo hiayo malaika wanatamani kuyachuugulia.


Maana unabii haukuletwa zamani kwa mapenzi ya mwana Adamu; hali wana Adamu, watakatifu wa Mungu, walinena, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo