Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Na nyumba ile ikistahili, amani yenu iifikilie: la, haistahili, amani yenu iwarudieni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kama wenyeji wa nyumba hiyo wanastahili salamu hiyo, basi, amani yenu itakaa pamoja nao. Lakini ikiwa hawastahili, basi amani yenu itawarudia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kama wenyeji wa nyumba hiyo wanastahili salamu hiyo, basi, amani yenu itakaa pamoja nao. Lakini ikiwa hawastahili, basi amani yenu itawarudia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kama wenyeji wa nyumba hiyo wanastahili salamu hiyo, basi, amani yenu itakaa pamoja nao. Lakini ikiwa hawastahili, basi amani yenu itawarudia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na mkiingia katika nyumba, isalimuni.

Na mtu asipowakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mtokapo katika nyumba ile, au mji ule, kungʼuteni mavumbi ya miguuni mwenu.

Na kama yumo mwana wa amani, amani yenu itakaa kwake. La! si hivyo, itawarudia ninyi.

katika hao wa kwanza manukato ya mauti yao waendao hatta mauti; katika hao wengine manukato ya uzima wao waendao hatta uzima. Na nani atoshae kwa mambo haya?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo