Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 10:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na mji wo wote au kijiji cho chote mtakachoingia, tafuteni ni nani humo aliye mtu amini; kakaeni humo hatta mtakapotoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu anayestahili kutembelewa, na kaeni huko mpaka mtakapoondoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu anayestahili kutembelewa, na kaeni huko mpaka mtakapoondoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu anayestahili kutembelewa, na kaeni huko mpaka mtakapoondoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake hadi mtakapoondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka.

Tazama sura Nakili




Mathayo 10:11
14 Marejeleo ya Msalaba  

wala mkoba wa safari, wula kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo: maana mtenda kazi astahili posho lake.


Na mkiingia katika nyumba, isalimuni.


Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hatta mtakapotoka mahali pale.


Hatta watu walipoona wakanungʼunika wote, wakisema, ya kama, Ameingia akae kwa mtu mwenye dhambi.


Na nyumba yo yote mtakayoingia, kaeni humo, katokeni humo.


Hatta alipokwisha kumbatiza, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae; akatushurutisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo