Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 10:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 wala mkoba wa safari, wula kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo: maana mtenda kazi astahili posho lake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Msichukue mkoba wa kuombea njiani, wala koti la ziada, wala viatu, wala fimbo. Maana mfanyakazi anastahili riziki yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Msichukue mkoba wa kuombea njiani, wala koti la ziada, wala viatu, wala fimbo. Maana mfanyakazi anastahili riziki yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Msichukue mkoba wa kuombea njiani, wala koti la ziada, wala viatu, wala fimbo. Maana mfanyakazi anastahili riziki yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake.

Tazama sura Nakili

Mathayo 10:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na mji wo wote au kijiji cho chote mtakachoingia, tafuteni ni nani humo aliye mtu amini; kakaeni humo hatta mtakapotoka.

akawaagiza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa gongo tu, wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni:

Akajibu akawaambia, Mwenye kanzu mbili na ampe yeye asiye nayo, na mwenye vyakula, na afanye vivyo hivyo.

Akawaambia, Msichukue kitu cha njiani, fimbo wala mkoba, wala mkate, wala fedha, wala msiwe na kanzu mbili.

Joho lile nililomwachia Karpo Troa, ujapo, lete, navyo vitabu, zaidi vile vya ngozi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo