Mathayo 1:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Yese akamzaa mfalme Daud. Mfalme Daud na mke wa Uria wakamzaa Suleman; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yese akamzaa Daudi, aliyekuwa mfalme. Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. Tazama sura |