Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 1:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Salmon na Rahab wakamzaa Boaz; Boaz na Ruth wakamzaa Obed; Obed akamzaa Yese;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese,

Tazama sura Nakili

Mathayo 1:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

Aram akamzaa Aminadab; Aminadab akamzaa Nahashon; Nahashon akamzaa Salmon;

Yese akamzaa mfalme Daud. Mfalme Daud na mke wa Uria wakamzaa Suleman;

wa Yese, wa Obed, wa Boaz, wa Salmon, wa Nahason,

Kwa imani Rahab, yule kahaba, hakuangamia pamoja nao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wapelelezi kwa amani.

Na Rahab, yule kahaba nae, je! hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo