Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 1:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Yuda na Tamar wakamzaa Parez na Zara; Parez akamzaa Esrom; Esrom akamzaa Aram;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Esromu, Esromu akamzaa Aramu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Hesroni, Hesroni akamzaa Aramu,

Tazama sura Nakili

Mathayo 1:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ibrahimu alimzaa Isaak; Isaak akamzaa Yakob; Yakob akamzaa Yuda na ndugu zake;

Aram akamzaa Aminadab; Aminadab akamzaa Nahashon; Nahashon akamzaa Salmon;

wa Aminadab, wa Aram, wa Esrom, wa Fares, wa Yuda,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo