Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 1:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 akamchukua mkewe; asimjue kamwe hatta alipomzaa mwanawe wa kifungua mimba; akainwita jina lake YESU.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Lakini hakulala naye hata Maria alipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Lakini hakulala naye hata Maria alipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Lakini hakulala naye hata Maria alipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Lakini hawakukutana kimwili hadi Mariamu alipojifungua mwanawe; akamwita jina Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Lakini hawakukutana kimwili mpaka Mariamu alipojifungua mwanawe kifungua mimba, akamwita Jina lake Isa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nae atazaa mtoto mwanamume, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, ndiye atakaewaokoa watu wake na dhambi zao.


Yusuf alipoamka katika usingizi, akatenda kama malaika wa Bwana alivyomwagiza;


Tazama, utachukua mimba, utazaa mwana, utamwita jina lake Yesu.


Na zilipotimia siku nane za kumtahiri, alikwitwa jina lake Yesu, lile lililotajwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.


Akamzaa mtoto wake wa kifungua mimba, akamfunga nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakuona nafasi katika nyumba ya wageni.


Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, illi awe mzaliwa wa kwanza katika ndugu wengi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo