Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 1:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Angalia, mwanamke bikira atachukua mimba, nae atazaa mwana, Na watamwita jina lake Immanuel; tafsiri yake, Mungu kati yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 “Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita jina Imanueli” (maana yake, “Mungu pamoja nasi”).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 “Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:23
18 Marejeleo ya Msalaba  

Yusuf alipoamka katika usingizi, akatenda kama malaika wa Bwana alivyomwagiza;


mkiwafundisha kushika yote niliyowaamuru ninyi: nti tazama, mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, hatta mwisho wa dunia. Amin.


Daud, bassi, amwita Bwana, na amekuwaje Mwana wake?


Nae Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, tukautazama utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee akitoka kwa Baba, amejaa neema na kweli.


Bwana akamwambia Paolo kwa njozi nsiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,


Bassi, na tuseme nini baada ya hayo? Mungu akiwa upande wetu, nani aliye juu yetu?


na katika bao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili, aliye juu ya mambo yote, Mungu, anaehimidiwa milele. Amin.


yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; nae ametia ndani yetu neno la upatanisho.


Na bila shaka siri ya utawa ni kuu. Mungu alidhibirishwa katika mwili, alihesabiwa kuwa na wema katika roho, alionekana na malaika, alikhubiriwa katika mataifa, aliaminiwa katika ulimwengu, alichukuliwa juu katika utukufu.


Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, illi kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, mataifa wrote wakasikie; nikaokolewa katika kanwa la simba.


Bwana Yesu Kristo awe pamoja na roho yako. Neema na iwe nanyi. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo