Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Ibrahimu alimzaa Isaak; Isaak akamzaa Yakob; Yakob akamzaa Yuda na ndugu zake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:2
27 Marejeleo ya Msalaba  

KITABU eba ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daud, mwana wa Ibrahimu.


Yuda na Tamar wakamzaa Parez na Zara; Parez akamzaa Esrom; Esrom akamzaa Aram;


Akampa agano la Tohara; bassi Ibrahimu akazaa Isaak, akamtahiri siku ya nane. Isaak akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa wale thenashara, wazee wetu.


Kwa imani hatta Sara mwenyewe alipokea nwezo wa kuwa na mimba, alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimwona yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu.


Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambayo Musa hakunena neno lolote la kuikhusu katika mambo ya ukuhani.


Wa kabila ya Yuda thenashara elfu waliotiwra muhuri. Wa kabila ya Reuben thenashara elfu. Wa kabila ya Gad thenashara elfu. Wa kablia ya Asher thenashara elfu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo