Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 1:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Yakob akamzaa Yusuf mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwae Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 naye Yakobo akamzaa Yusufu, aliyekuwa mumewe Mariamu, mama yake Isa, aitwaye Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 naye Yakobo akamzaa Yusufu ambaye alikuwa mumewe Mariamu, mama yake Isa, aitwaye Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:16
17 Marejeleo ya Msalaba  

Eliud akamzaa Eleazar; Eleazar akamzaa Mattan; Mattan akamzaa Yakob;


Simon Petro akajibu, akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hayi.


Ndipo akawaagiza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ya kwamba yeye ndiye Yesu aliye Kristo.


Na hawo walipokwisha kwenda zao, malaika wu Bwami akamtokea Yusuf katika ndoto, akiuena, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukakae huko mpaka nikuambiapo; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.


Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?


Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe.


Huyu si yule sermala, mwana wa Mariamu, na ndugu wii Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simon? na ndugu zake wanawake hawapo hapa petu? Wakachukizwa nae.


kwa mwanamke bikira aliyekuwa ameposwa na mume, jina lake Yusuf, wa nyumba ya Daud; na jina la yule mwanamke Mariamu.


Nao walipomwona wakashangaa sana; mama yake akamwambia, Mwanangu, kwani ukatutenda hivi? Tazama, baba yako na mimi tulikuwa tukikutafuta kwa huzuni.


Akamzaa mtoto wake wa kifungua mimba, akamfunga nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakuona nafasi katika nyumba ya wageni.


Nae Yesu mwenyewe alipokuwa akianza kufundisha, umri wake amekuwa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa mwana wa Yusuf, wa Eli,


Wakamshuhudia wote, wakayastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake: wakanena, Huyu siye Mwana wa Yusuf?


Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi (aitwae Kristo). Atakapokuja yeye, atatufunulia yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo