Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 1:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Na haada ya uhamisho ule wa Babel, Yekonia akamzaa Shealtiel; Shealtiel akamzaa Zerubbabel;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishoni Babuloni, Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa Zerubabeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishoni Babuloni, Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa Zerubabeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishoni Babuloni, Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa Zerubabeli,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,

Tazama sura Nakili

Mathayo 1:12
20 Marejeleo ya Msalaba  

Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa uhamisho wa Babel.

Zerubbabel akamzaa Ahihud; Ahihud akamzaa Eliakim; Eliakim akamzaa Azor;

Bassi vizazi vyote tangu Ibrahimu hatta Daud vizazi kumi na vine; na tangu Daud hatta uhamisho ule wa Babel vizazi kumi na vine; na tangu uhamisho ule wa Babel hatta Kristo vizazi kumi na vine.

wa Yohana, wa Resa, wa Zorobabel, wa Salathiel, wa Neri,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo