Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 1:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa uhamisho wa Babel.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.

Tazama sura Nakili

Mathayo 1:11
17 Marejeleo ya Msalaba  

Na haada ya uhamisho ule wa Babel, Yekonia akamzaa Shealtiel; Shealtiel akamzaa Zerubbabel;

Bassi vizazi vyote tangu Ibrahimu hatta Daud vizazi kumi na vine; na tangu Daud hatta uhamisho ule wa Babel vizazi kumi na vine; na tangu uhamisho ule wa Babel hatta Kristo vizazi kumi na vine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo